header image

Maambukizi ya magonjwa ya ngono (magonjwa ya zinaa)

Ninaweza kupata wapi matibabu?

where phone

Unaweza kupata matibabu kwa magonjwa mengi ya ngono kwenye zahanati iliyo karibu yako ambako dawa zinapatikana. Baadhi ya zahanati haziwezi kuwa na vifaa vya kutibu magonjwa ya ngono kama vile vidonda na hii inaweza kuhitaji kupelekwa kwenye kituo kikubwa.

Wanaume wengine wanashindwa kupata  matibabu kwa magonjwa fulani ya ngono hasa kama inahusisha mkundu. Wana wasiwasi kwamba watoa huduma za afya watawasema kwa kuwa wanafanya ngono ya mkundu. Kwa bahati mbaya, hii inasikitisha kwa sababu sio wahudumu wote wa afya wanaohitimu wamefunzwa kusaidia wanaume wanaofanya ngono ya mkundu.

Pata kujua  mahali ambapo unaweza kupata huduma kutoka kwa watu maalum kwa ajili ya wavulana kama wewe hapa.