header image

Naenda wapi kupata msaada?

Mashirika ya Mitaa - Uganda

where help

Mashirika ya Mitaa

Tutembee Uganda
Tovuti  ya Vijana wa mtu mwenye ufahamu tofauti na jinsia yake

Jinsi ya Kuwasiliana:
Unaweza kuwapata ‘Tutembee Uganda’ kwenye Whatsapp kwenye +256 (0) 75 744 1628 au kwenye Facebook au Twitter kwenye LetsWalkUganda.

Waelimishaji Uganda

Shirikisho la mashirika yasiyo ya faida kwa watu mwenye ufahamu tofauti na jinsia zao wakitilia mkazo kwenye afya ya ngono, utetezi wa haki za afya ya ngono, uhamasishaji na uzuizi wa VVU / UKIMWI  kwa jamii na  watu mwenye ufahamu tofauti na jinsia zao.

Jinsi ya Kuwasiliana:
Unaweza kuwapata waelimishaji kwenye facebook kwenye icebreakersuganda au Twitter katika icebreakersUG

Unaweza kuwapigia simu kwenye +256392853652 au +256752538003 au 0701791412