header image

Afya Yako, Haki Yako

Afya yako, Haki zako

rights1

Sisi sote tuna haki za kimsingi za kibinadamu, bila kujali ni nani, au ni nani tunaojamiiana nao. Moja ya haki hizo, ni haki ya afya. Hii ina maana kwamba sisi wote tuna haki ya kupata huduma za afya ikiwa ni pamoja na kupata matibabu ya VVU na magonjwa ya zinaa.

Wakati mwingine, haki yako ya afya inaweza kukiukwa na mhudumu wa afya ikiwa:

  • Kukukataza kupata huduma za afya
  • Kukunyanyapaa wakati wa kutoa huduma za afya
  • Kuwajulisha watu wengine kuhusu hali yako ya afya bila idhini yako

Ni muhimu utambue haki zako na ujue kama zimekiukwa na mhudumu wa afya ili uweze kufanya kitu kuhusu hilo.