header image

Vurugu na unyanyasaji

Ninapataje msaada?

violence help

Hukustahiki kuwa muaathirika, kwa sababu yoyote. Ikiwa ni muathirika wa vurugu au unyanyasaji, hata ikiwa ni kutoka kwa mpendwa au mpenzi wako, unapaswa kupata msaada kujikinga.

Ninapataje msaada?

Kukabiliana na vurugu ni kitu ambacho hauna haja ya kukabiliana peke yako.

  • Kumbuka kuwa huna lazima uwe na aibu kwamba hili limekutokea. Unaweza kuwashirikisha rafiki au mshirika wa familia unayemuamini.
  • Pata mchango kutoka kwa mashirika ambao yanaweza kusaidia kukuonyesha machaguo na kukufundisha jinsi kitu cha kufanya.
  • Ikiwa umeathirika na ngono, unapaswa kutafuta dawa za kinga ikiwa ni ndani ya masaa 72 ili uweze kuzuia uambukizo wa VVU.