
Nifanye nini ikiwa haki zangu zimevunjwa?
- Ripoti ukiukaji kwenye kituo cha huduma za afya
- Ikiwa hujisikia vizuri kutoa taarifa, basi wajulishe mashirika ya mitaa kuwa ukiukwaji ulifanyika ili waweze kukutetea kwa niaba yako
- Tafuta huduma za afya kutoka vituo mbalimbali ambavyo ni rafiki zaidi kwa wanaume wanaojamiiana na wanaume wengine.